Running in Zanzibar, Tanzania

Photo by Alex Petrenko via Wikimedia Commons, CC BY-SA 3.0

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0

Tanzania › Zanzibar › City guide

12 Running Routes in Zanzibar

Generate Art Routes in Zanzibar

Jiji la Zanzibar Matamshi (info) ni mji mkubwa wa kisiwa cha Unguja na mji mkuu wa Zanzibar.Pia ni wilaya katika Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi wa Tanzania. Jiji lina wakazi 206,292 (sensa ya mwaka 2002).

Kitovu cha historia yake ni Mji Mkongwe (Stone Town) ulioandikishwa katika orodha ya UNESCO ya "Urithi wa Dunia" (World Heritage). Kati ya majengo maarufu ni Beit al Ajaib (yaani Jumba la Maajabu lililobomoka tarehe 24 Desemba 2020), boma la kale, Kanisa Kuu la Kianglikana lililojengwa mahali pa soko la watumwa na hasa nyumba nyingi za kihistoria za ghorofa zilizojengwa na famila za tabaka la matajiri Waarabu zenye milango yenye mapambo mazuri. Kwenye ShapeMiles unaweza kuvinjari njia za kukimbia za Zanzibar, kulinganisha umbali na miinuko, na kupanga mazoezi yako kulingana na hali ya hewa.

Weather and seasonal running guidance

Current weather…
AQI indexUnavailable
Temperature--
Wind speed--
Wind directionN/A
Best monthsMwaka mzima, kulingana na hali ya hewa ya eneo na ratiba ya mbio.
SeasonTypical weatherRunning guidance
Misimu yoteHutofautiana kulingana na jijiRekebisha kasi, unywaji wa maji na muda kulingana na hali ya hewa ya sasa.

Surface mix: Barabara za mjini, njia za bustanini na nyuso mchanganyiko za jiji.

Safety tip: Angalia mtiririko wa magari, vijia vya watembea kwa miguu na taa za njia kabla ya kukimbia.

Route list

PreviewRouteElevation LossMapRun in appVideoReviews
3.5 km19 m18 mPreview-
20.2 km33 m33 mPreview-
10.0 km97 m95 mPreview-
21.4 km39 m40 mPreview-
10.0 km15 m14 mPreview-
5.3 km7 m7 mPreview-
8.5 km14 m14 mPreview-
21.0 km36 m36 mPreview-
10.1 km10 m7 mPreview-
21.1 km39 m41 mPreview-

Explore pages for Zanzibar